Posts

NECTA MATOKEO DARASA LA NNE 2021, FORM TWO 2021 NA FORM FOUR 2021

Image
  Awali Mwishoni mwa wiki siku ya tarehe 15/01/2021 NECTA ilitangaza Rasmi matokeo ya wnafunzi wa darasa la Nne 2021, kidato cha pili (Form Two) na Kidato cha Nne (Form Four). Kwa wakati huu napenda kukusogezea Links nyepesi zenye matokeo hayo kwenye blog isiyokuwa na Matangazo (Ads). Kupata matokeo Darasa la Nne 2021 Bofya Hapo Chini Darasa la Nne 2021 Kupata matokeo Form Two 2021 Bofya hapo chini Form Two 2021 Kupata matokeo Form Four 2021 Bofya hapo chini Form Four 2021 Kupata matokeo Darasa la Saba 2020 Bofya hapo chini Darasa la saba 2021 USISAHAU KUTEMBELEA YouTube Chanel yetu ya ZAMU PRODUCTION INC. Na pia unaweza kutembelea facebook page yetu ya ZAMU PRODUCTION INC Ahsante kuichagua zamu dail news wasiliana moja kwa moja kupitia 0676582025 au wa.me/255744472025.com 

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 (PSLE 2020 EXAMINATION RESULTS) YAMETANGAZWA

 Wizara ya Elimu Nchini Tanzania kupitia Barala lake La Mtihani NECTA imetangaza Matokeo ya Darasa la Saba Mwaka 2020 hii Leo Tarehe 21/11/2020. Kuangalia matokeo Bofya . 

FORM SIX RESULTS 2020/2020

Image
 Form six examination results 2020/2021 now is out  Wizara ya Elimu Tanzania imetangaza matokeo ya Kidato cha sita kwa vijana waliofanya mtihani June 29 hadi July mwaka 2020. Click here to download  Fanya haraka wapatie na wenzako

MWONGOZO WA KUOMBA MKOPO 2020/2020

KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MKOPO. Board ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu HESLB Imetoa Mwongozo kwa wanafunzi wote wanaotarajia Kuomba Mkopo mwaka huu 2020. 🎓🎓🎓🎓🎓🎓 Aidha board imewataka wanafunzi kupitia mwongozo Huo kuanzia J5 tarehe 16/07/2020 Kufikia tarehe 21 July 2020 dirisha lipakapofunguliwa.   Kupakua Mwongozo Huo Bofya Hapa .  Kwa watakaohitaji kufanya maombi hayo au kupata msaada kuhusiana na uombaji wa mikopo wafanye mawasiliano na Board au Kama unahitaji msaada jiunge nasi kwenye group Letu 👇👇👇👇 Bofya Hapa Kupata Msaada

MAELEKEZO NAMNA YA KUJAZA SELFORM YAKO.

Image
NAMNA YA KUANZA KUJAZA SELFORM YAKO FATA MAELEKEZO HAPO CHINI KUPATA MAELEKEZO BOFYA HAPA ;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;; Kama utasumbuka sanaa wasiliana nasi

STUDENT TAMISEMI SELF FORM (SELFORM)

Image
Student Tamisemi self form (selform)- jinsi ya kubadiri combination na vyuo vya ufundi na tahasusi nyingine BOFYA HAPA  KUINGIA KWENYE MFUMO WA TAMISEMI UBADILISHE CHAGUZI ZAKO.