MWONGOZO WA KUOMBA MKOPO 2020/2020
KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MKOPO.
Board ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu HESLB Imetoa Mwongozo kwa wanafunzi wote wanaotarajia Kuomba Mkopo mwaka huu 2020.
🎓🎓🎓🎓🎓🎓
Aidha board imewataka wanafunzi kupitia mwongozo Huo kuanzia J5 tarehe 16/07/2020 Kufikia tarehe 21 July 2020 dirisha lipakapofunguliwa.
Kupakua Mwongozo Huo Bofya Hapa.
Kwa watakaohitaji kufanya maombi hayo au kupata msaada kuhusiana na uombaji wa mikopo wafanye mawasiliano na Board au Kama unahitaji msaada jiunge nasi kwenye group Letu 👇👇👇👇
Bofya Hapa Kupata Msaada
Wasiliana nasi tukusaidie.
🎓🎓🎓🎓🎓🎓
Tufatilie katika YouTube channel yetu ya ZAMU PRODUCTION INC.
Tarehe 17 July 2020.
Comments
Post a Comment