SELECTION FORM FIVE 2019/2020

SELECTION FORM FIVE 2019/2020 KUTOKA SOON.
Muda mfupi umebakia Selection za form five mwaka 2019/2020 kutoka wanafunzi wote mnaombwa kutembelea Blog hii muda wowote mambo yatakaa sawa.
Aidha niwatoe hofu kwani muda wa kujiunga form five bado mwingi na unatosha kujiandaa hivyo kuweni tayali Kwani nyama ipo tayali.
Pia wanafunzi wote mnaombwa kufollow blog hii kila siku ili muweze kupata taarifa haraka Mara baada ya NECTA kutoa selection na kuzitangaza hadharani
Pia Kama unashida na tatizo lolote usisite kuuliza kwa marafiki zako na uje ZAMU NEWS ujipatie taarifa Zote.
Au bofya HAPA Na uwasiline nasi moja kwa moja upate taarifa zote zinazohu Selection na Nyingine nyingi.

THE MATTER ABOUT UNIVERSITY LIFE
MAISHA YA CHUO.

UNIVERSITY LIFE


Wanafunzi wengi wanaomaliza A-level wanapenda Sana kuuliza kuhusu Maisha ya chuo….!
Leo Naomba Kuwatoa hofu kabisaa kuwa Chuo ni sehemu ambayo wanafunzi wengi wanapata kujiendeleza na masomo yao usishangae ukaenda chuo ukamkuta Mwl wako WA taaluma naye Kaja kuongeza Knowledge.
Mada kuhusu chuo Bata ulikuwa ni uvumi wa Maneno kutoka kwa wanachuo waliojiunga kipindi cha hapo mwanzo ambapo Serikali ulikuwa busy kutafuta wafanya kazi katika kada mbalimbali hivyo mwanachuo alikuwa Mali ya Nchi.
Hii ni tofauti kidogo na Leo ambapo wanafunzi wamekuwa wakijiunga na vyuo kuongeza knowledge na wala siyo kupata ajira haraka Kama ilivyokuwa ikitarajiwa hapo awali.
tujifunze kidogo kuhusu hii.
usikate Tamaa kwa kila unachotaka kufanya kwani kila mtu kufall ni sehemu ya maisha

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

NECTA MATOKEO DARASA LA NNE 2021, FORM TWO 2021 NA FORM FOUR 2021

FORM SIX RESULTS 2020/2020