Posts

Showing posts from July, 2020

MWONGOZO WA KUOMBA MKOPO 2020/2020

KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUOMBA MKOPO. Board ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu HESLB Imetoa Mwongozo kwa wanafunzi wote wanaotarajia Kuomba Mkopo mwaka huu 2020. 🎓🎓🎓🎓🎓🎓 Aidha board imewataka wanafunzi kupitia mwongozo Huo kuanzia J5 tarehe 16/07/2020 Kufikia tarehe 21 July 2020 dirisha lipakapofunguliwa.   Kupakua Mwongozo Huo Bofya Hapa .  Kwa watakaohitaji kufanya maombi hayo au kupata msaada kuhusiana na uombaji wa mikopo wafanye mawasiliano na Board au Kama unahitaji msaada jiunge nasi kwenye group Letu 👇👇👇👇 Bofya Hapa Kupata Msaada